"Hili fungu dogo ndani ya fungu takatifu la nchi litamilikiwa na hawa makuhani, fungu ambalo ni takatifu zaidi kuliko yote ya fungu takatifu la nchi"