sw_tn/ezk/45/25.md

288 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.

Katika mwezi wa saba siku ya kumi na tano ya mwezi

Huu ni mwezi wa kalenda yaKiebrania.

kwenye sikukuu

Hii ni sikukuu tofauti kuliko sikukuu ambayo Ezekieli alikuwa akiielezea kabla.