forked from WA-Catalog/sw_tn
329 B
329 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wana mfalme wa Israeli.
sadaka ya chakula
Hii pia inaitwa "sadaka ya unga."
ng'ombe dume saba na kondoo dume saba wasio na dosari
ng'ombe dume na kondoo dume ambao wana afya kabisa"
efa
"lita ishirini na mbili"
hini
"lita ishirini na moja"