sw_tn/ezk/45/09.md

29 lines
351 B
Markdown

# Inatosha kwa ajili yako
"Umefanya mengi kwa ajili ya hii"
# vipimo
ni kifaa ambacho kilichokuwa kikitumika kupimia vitu ambavyo watu walivyovinunua au kuuza
# ili kwamba birika liwe la homeri
"ili kwamba mabirika yatakuwa kiasi sawa kama homeri"
# homeri
kama lita 220
# shekeli
kama gram 11
# gera
kama gram 0.55
# mane
kama gram 660