forked from WA-Catalog/sw_tn
621 B
621 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli kuhusu uzao wa Zadoki ambaye hutumika kama makuhani.
malimbuko
Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha kwamba vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa karibu kumtolea Mungu.
na kila kitu kitokanacho na sadaka
"na kila zawadi ya kitu chochote kutoka zawadi zako zote"
ili kwamba baraka iweze kukaa katika nyumba zenu
Hili neno linamaanisha "hivyo nitabariki familia yako na kila kitu ambacho ni mali yako."
au mnyama aliyeraruliwa, iwe ni ndege au mnyama
"au kiumbe ambaye ni ndege au mnyama wa porini amerarua."