iliyoelekea mashariki
Tazama jinsi ilivyotafsiriwa katika sura 40:5.
haitafunguliwa
"hakuna mtu atakaye ufungua"
Mungu wa Israeli
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 8:3.
varanda
Tazama tafsiri yake katika 8:16.
mbele ya Yahwe
"mbele ya Yahwe" au "katika uwepo wa Yahwe"