# katika siku ya pili ume
Tazama tafsiri yake katika sura ya 43:18.
# Vitoe mbele ya Yahwe
Madhabahu ambayo watatoa ng'ombe dume na kondoo dume, i mbele ya Hekalu ambapo uwepo wa Yahwe ulipo.