sw_tn/ezk/43/09.md

141 B

mizoga ya waflme wao

Hapa "mizoga" inarejea kwa sanamu ambazo watu wa wafalme waliziabudu. Sanamu zinaitwa mizoga kwa sababu haziko hai.