# sadaka ya chakula
Hii ilikuwa sadaka ya unga. Watu walitoa "sadaka ya chakula" kuonyesha walikuwa na shukrani kwa Mungu.