ua wa nje
Tazama tafsiri yake katika sura ya 10:3.
ua wa ndani
Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.
na palikuwa pamefunguliwa kwa ajili yao
"na palionekana nje kwenye ua wa ndani"
kuwa na njia ya kutembea
"kwa sababu kulikuwa na mahali ambapo ungeweza kutembea karibu na vyumba"