sw_tn/ezk/39/01.md

13 lines
188 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa Gogu.
# Tazama!
"Ona" au "Sikia!"
# mkuu wa Mesheki na Tubali
Haya maelezo yalitokea mara mbili katika hii mistari.