forked from WA-Catalog/sw_tn
393 B
393 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa gogu.
natafurika mvua, na mvua ya mawe ya moto. Nitaleta mvua ya kiberiti
"na nitanyeshea nchi mafuriko ya mvua, mvua ya mawe na kuchoma salfa"
mvua ya mawe
barafu ambayo huanguka chini kutoka angani
kiberiti
"salfa"
nitaonyesha ukuu wangu na utakatifu wangu
"onyesha kwamba mimi ni mkubwa na mtakatifu"