sw_tn/ezk/38/07.md

257 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe ananena na Gogu.

Utaitwa

"nitakuita kuta kwa ajili ya vita."

makundi yako ya jeshi yatakusanyika pamoja nawe

"makundi yako yote ya jeshi ambayo umeyakusanya kwako"

uliyokuwa umeyakusanya

"na wale watu uliowakusanya."