sw_tn/ezk/36/29.md

349 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

nitatia unga

"nitaita unga uje" Hili neno linawakilisha unga kama mtumishi wa Yahwe.

hamtazaa tena aibu ya njaa miongoni mwa mataifa

"mataifa hayatakufanya kujisikia aibu kwa sababu mnateseka na njaa"

matendo maovu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:9.