sw_tn/ezk/36/22.md

409 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli, na kumpatia ujumbe Israeli.

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

kwa ajili yako

"kwa sababu yako"

lakini kwa ajili ya jina langu takatifu

"ili watu wajue kwamba mimi ni mtakatifu"

mtajua kwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

hili ni tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.