sw_tn/ezk/33/30.md

21 lines
405 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekili
# Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
# ile itokayo kutoka kwa Yahwe
"ile Yahwe aipelekayo"
# Maneno ya hako hapo juu ya vinywa vyao
"maneno ya upendo yapo katika vinywa vyao"
# mioyo yao inafuata udhalimu kwa faida yao
"katika mioyo yao wanataka kujipatia udhalimu" au "wanataka kujipatia vitu katika njia ambazo si sahihi."