forked from WA-Catalog/sw_tn
750 B
750 B
Kisha ikatokea
hili neno limetumika hapa kuonyesha mwanzao wa sehemu mpya wa hadithi.
katika mwezi wa kumi na mbili ... katika siku ya kwanza ya mwezi
Hii ni siku ya kumi na mbili na mwezi wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kwanza i karibu na mwishoni mwa Mwezi wa pili.
ya mwaka wa kumi na mbili
"ya mwaka wa kumi na mbili ya uhamisho wa Mfalme wa Yehoyakini"
neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
Wewe ni kama mwana simba ... kama dubwana katika bahari
"Alifikiri alikuwa kama simba, lakini alikuwa kama jitu la kutisha kabisa.
kama mwana simba miongoni mwa mataifa
Misri ilikuwa imara kuliko mataifa mengine, kama simba ambao ni shupavu kuliko wanyama wengine.