sw_tn/ezk/31/03.md

738 B

Maelezo ya Jumla:

Haya ni maneno ya Mungu kwa Farao kuhusu Ashuru. Mungu anatoa ujumbe wake katika mfumo wa fumbo kuhusu mti mkubwa wa mkangazi.

Tazama!

"Tazama!" au "Sikiliza!"

kivuli kwenye msitu

"inayo andaa kivuli kwa ajili ya miti mingine katika msitu."

na mrefu katika kimo,

"ndefu sana"

Urefu wa mti wake ulikuwa juu ya mawingu

"Urefu wa mti ulikuwa katika mawingu"

Maji mengi yaliufanya kuwa mrefu

"Kwa sababu mkangazi ulikuwa na maji mengi, ulirefuka sana"

vilindi vya maji yaliufanya mkubwa

"kilindi cha maji katika aridhi uliufanya mkangazi kuwa mkubwa sana"

mifereji yake ilitoa kuelekea kwenye miti yote katika shamba

"na mifereji ilitoa kutoka kwenye mito kwenda kwenye miti yote ya shamba."