forked from WA-Catalog/sw_tn
775 B
775 B
Bwana Yahwe asema hivi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:5.
Nitaufanya mwisho wa watu wa Misri
"nitafanya hivyo ili Misri isiwe na watu wengi."
kwa mkono wa Nebukadreza
Nebukadreza atakuwa yule ambaye aletaye hii hukumu.
Yeye pamoja na jeshi lake ... italetwa kuiharibu nchi
"nitamleta Nebukadreza na jeshi lake ... kuingamiza nchi"
Yeye pamoja na jeshi lake, hofu ya mataifa
Yahwe anamuita Nebukadrea "hofu ya mataifa" kwa sababu mataifa yote yana hofu kubwa ya jeshi lake.
kuiangamiza nchi
"hivyo wataiangamiza nchi." Yahwe atamleta Nebukadreza na watu wake ili waiangamize nchi.
watafuta panga zao juu ya Misri
"pigana juu ya Misri"
jaza nchi kwa maiti za watu
Hii ni kutia chumvi kuonyesha kwamba Wababeli watawaua Wamisri wengi sana.