sw_tn/ezk/29/11.md

9 lines
163 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Farao.
# hakuna mguu wa wanyama pori watakao upitia
"hakuna hata mnyama atatembea humo"