sw_tn/ezk/28/11.md

25 lines
525 B
Markdown

# Neno la Yahwe la Yahwe
"Yahwe akanena neno lake."
# inua maombolezo
"imba nyimbo ya msiba" au "imba wimbo wa kuomboleza"
# Ulikuwa mfano wa ukamilifu
"Ulikuwa mkalifu."
# umejaa hekima na ukamilifu wa hekima
"hekima kubwa na mwenye umbile zuri sana"
# Kila jiwe la thamani lilikufunika
"ulivaa kila aina ya jiwe la thamani." Hii inaonyeshaalikuwa tajiri sana.
# almasi, zabarajadi, shohamu,yaspi, yakuti samawi, zumaridi, baharamani, na dhahabwamba mfalme
Haya yote ni mawe ya thamani ya rangi tofauti tofauti.