forked from WA-Catalog/sw_tn
582 B
582 B
Nitaweka kisasi changu juu ya Edomu kwa mkono wa watu wangu Israeli
"nitawatumia watu wa Israeli kulipa kisasi juu ya watu wa Edom"
watafanya kwa Edomu kulingana na hasira yangu na ghadhabu yangu
"wataionyesha Edomu hasira yangu na ghadhabu"
hasira yangu na ghadhabu yangu
Neno "ghadhabu" kimsingi linamaanisha kitu kimoja na kuongeza neno "hasira." "hasira yangu ya ghadhabu"
watakijua kisasi changu
"watu wa Edomu watajua ya kuwa nimelipa kisasi juu yao"
hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
"Hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo" "Hivi ndivyo Bwana asemavyo itakuwa"