Yehova anazungumza juu ya baba wa mwana ambaye hajaitii sheria ya Mungu.
kuchukua kitu cha mtu mwingine kwa kutumia vitisho au mabavu.
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa jambo linalofuata.