sw_tn/ezk/14/04.md

635 B

Kwa hiyo watangazie hivi

Neno "wao" linarejea kwa "watu kutoka wazee wa Isareli"

achukuaye sanamu moyoni mwake

"anayefikiria sanamu zake kuwa muhimu sana"

awekeye pingamizi la uovu mbele ya uso wake

Neno "mbele ya uso waake" inamaanisha "kwa uangalifu mkubwa."

kisha yule ajaye kwa nabii

Mtu aendaye kwa nabii ili kusikia Mungu anasemaje.

idadi ya sanamu zake

"ana kiasi gani cha sanamu."

niweze kuirudisha nyumba ya Israeli katika mioyo yao

"nitawafanya watu wa Israeli wanipende tena"

kuirudisha ... mbali nami

Anasema atawarudisha ili kuwafanya wampende hata kama sanamu zao zimewasukuma mbali na Mungu.