forked from WA-Catalog/sw_tn
475 B
475 B
mmeuvunja moyo wa mtu mwenye haki
Moyo wa mtu mwenye haki imetumika kurejea kwa hisia zao.
geuka kutoka kwenye njia yake
Kuacha kufanya kitu kinachorejea kurudi katika mwelekeo tofauti.
maono ya uongo au kuendelea kufanya utabiri
Haya maneno yote yanarejea kueleza kuhusu kile kitakachotokea baadaye.
kutokana na mkono wako
Neno "mkono" limetumika kurejea kutawala unabii.
mtajua kwamba mimi ndimi Yahwe
"kutambua kwamba mimi ndimi Yahwe, Mungu wa kweli"