forked from WA-Catalog/sw_tn
392 B
392 B
mimi
inamrejea Yahwe
nitakavo uangamiza kwa ghadhabu yangu
"wakati nitendapo juu ya hasira yangu nitaleta mwisho"
kuupaka chokaa
"kuupaka ukuta rangi nyeupe"
Ukuta hautaonekana tena, wala watu wanaoupaka
"Ukuta hauko huko tena, wala watu"
monoa amani kwa ajili yake
Neno "yeye" inarejea kwa Yerusalemu.
hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo
Tazma tafsiri yake katika 5:11.