sw_tn/ezk/08/10.md

611 B

Tazama!

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

Kulikuwa na kila umbo la vitu vikitembea

"vitu vilivyo chongwa katika ukuta wa kila aina ya wanyama watambaao na wanyama wa karaha." Neno kitu kitambaacho" linarejea wadudu na wanyama wengine wadogo.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" linasimama badala ya familia inaishi katika nyumba, katika kesi hii Waisraeli, uzao wa Yakobo zaidi ya miaka mingi.

Yaazania mwana wa Shafani

hili ni jina la kiume

chetezo

sufuria ambayo watu hutumia kwa kuchomea ubani ndani wakati wakimwabudu Mungu au miungu ya uongo