sw_tn/ezk/04/16.md

1.1 KiB

Tazama!

"Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kukwambai!"

Nalivunja gongo la mkate katika Yerusalemu

"nitasimamisha usambazaji wa chakula kwa Yerusalemu."

mkate wa gongo

Kusambaza kunaitwa gongo kwa sababu baadhi ya watu wanahitaji gongo kutembelea na kufanya kazi zao, na watu wanahitaji mkate kuishi. Mkate unawakilisha aina zote za mkate. "kusambaza chakula"

Yerusalemu

"watapungukiwa makate na maji" hata "Nalivunja gongo la mkate" ni "Yerusalemu - wata ... tetemeka - ili"

watakula mkate ukiwa unagawa katika wasiwasi

"watagawanya kwa makini mkate wao kwa sababu wanahofia kwamba hautatosha"

kugawa

kutoa kiasi kidogo cha kitu kwa watu wengi ambachi hatoshi

kugawa kwa kutetemeka

"kuugawa ukiwa unatetemeka" au "kuugawa katika hofu"

kila mtu atafadhaishwa na ndugu yake na kumpoteza

"kila mmoja atamtazama ndugu yake na kuhofu kuhusu ni kiasi gani cha chakula ndugu yake hula na kupoteza"

poteza

Hili neno mara zote limetumika nyama au kuchimbua mabao. Hapa ni mfano kwa watu waovu kuwa wembamba na kufa kwa sababu hawana chakula.