watu wako
Hapa "wako" ya husu Musa.
ni kitu cha hofu ninacho fanya kwako
Kitu cha hofu ni kitu kinacho sababisha watu kuogopa. Katika hoja hii, watu watamuogopa Mungu watakapo ona anacho fanya.
ninacho fanya kwako
Hapa "kwako" ya husu Musa na watu wa Israeli.