"Tazama!" au "Sikia!" au "Kuwa makini kwa nitakacho kwambia"
Hii ni kwasababu Yahweh atakuwa akiondoka kwa Musa.
Hii yaweza elezezwa katika tensi tendaji.