forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
700 B
Markdown
29 lines
700 B
Markdown
# Mimi nimewaona watu hawa
|
|
|
|
Hapa Yahweh analinganisha kuwajua watu na kuwaona.
|
|
|
|
# watu wenye shingo ngumu
|
|
|
|
Yahweh anaongelea watu kuwa wajehuri kana kwamba wana shingo ngumu.
|
|
|
|
# Basi sasa
|
|
|
|
Neno "sasa" linatumika hapa kuweka pumziko kwa kile Yahweh alikuwa anamwambia Musa. Hapa Yahweh anasema nini ata wafanyia watu.
|
|
|
|
# hasira zangu ziwake juu yao
|
|
|
|
Yahweh anazungumzia hasira yake kana kwamba ni moto unao weza waka sana.
|
|
|
|
# wewe uwe
|
|
|
|
Neno "wewe" la husu Musa.
|
|
|
|
# kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako
|
|
|
|
Musa alitumia ili swali kujaribu kumshawishi Yahweh asiwe na hasira sana na watu wake.
|
|
|
|
# uweza mkuu ... mkono wenye nguvu
|
|
|
|
Hii mistari miwili ina maana moja na iwe ambatanishwa kwa mkazo.
|
|
|