Maelezo ya Jumla
Mungu anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
suruali za nguo ya kitani
Hizi zilikuwa nguo za ndani, nguo zinazo valia njee ya nguo za njee, karibu na ngozi.
hema ya kukutania
Hili ni jina lingine la maskani.
amri ya milele
"sheria hisiyo kwisha"