Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye.
Na hiyo miti itatiwa katika viduara, na ile miti itakuwa katika pande mbili za madhabahu, wakati wa kuichukua
Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji.
ulivyooneshwa mlimani
Hii yaweza andikwa katika sentensi tendaji.