Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa nini watu wafanye.
Hizi fremu zitakuwa zimetengana upande wa chini, lakini zimeshinkana kwa juu ya duara moja
Hii ya weza andika katika tensi tendaji.
vitako vya fedha
Haya yalikuwa matofali yenye mpangilio kuweka fremu sehemu yake.