sw_tn/exo/21/20.md

13 lines
242 B
Markdown

# kwa madhara ya pigo
"kwasababu ya majeraha"
# huyo mtu lazima ahadhibiwe
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kwa kuwa atateseka kupoteza mtumishi huy
Waweza eleza wazi katika tafsiri mtumishi alikuwa na dhamani kwa bwana wake.