sw_tn/exo/20/22.md

17 lines
352 B
Markdown

# Ni lazima uwaambie hili Waisraeli
"Waambie Waisraeli hili"
# Wewe mwenyewe umeona niliongea na wewe kutoka mbinguni
"Umesikia nikiongea na wewe kutoka mbinguni"
# Misjitengenezee miungu mingine pamoja nami
"Usifanye sanamu kama miungu mingine zaidi yangu"
# miungu ya fedha au miungu ya dhahabu
"miungu iliyo tengenezwa kwa fedha au dhahabu"