sw_tn/exo/15/02.md

428 B

Yahweh ni uweza wangu

Maana zinazo wezekana ni 1) "Yahweh ndiye anaye nipa uweza" au 2) "Yahweh ndiye mwenye nguvu anaye ni linda mimi."

na nyimbo

Musa anamuita Yahweh nyimbo yake kwasababu Yahweh ndiye anaye imba kuhusu.

amekuwa wokovu wangu

Musa anamuita Mungu wakovu wake kwasababu Mungu amemuokoa.

Yahweh ni shujaa

Musa anamuita Mungu shujaa kwasababu Mungu kwa nguvu alipigana dhidi ya Wamisri na kushinda.