"mara ingine tena"
Neno "kifo" hapa la eleza uharibifu wa nzige kwa mimea yote Misri, ambayo hatimae itapelekea vifo vya watu kwasababu hakuna mazao. Maana yote ya hii sentesi yaweza andikwa kwa uhalisi.