"waendesha watumwa" Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu.
Neno "wewe" katika hii mistari ni wingi na ya husu wasimamizi na mabwana.