forked from WA-Catalog/sw_tn
644 B
644 B
ata kuwa na furaha moyoni mwake
Hapa "moyo" wa husu mawazo ya ndani na hisia.
eka maneno ya kusema modomoni mwake
Maneno hapa yanazungumzwa kama ni vitu vinavyo weza kuwekwa mdomoni mwa mtu. Hapa maneno yana maana ya ujumbe.
nitakuwa na mdomo wako
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha uchaguzi wa maneno ya Musa.
mdomo wake
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha uchaguzi wa maneno ya Aruni.
Ata kuwa na mdomo wako
Neno "mdomo" hapa lina wakilisha marudio ya yale Aruni aliyo ambiwa na Musa.
utakuwa kwake kama kwangu, Mungu
Neno "kama" hapa la maanisha Musa ata wakilisha mamlaka hayo kwa Aruni kama Mungu alivyo fanya kwa Musa.