sw_tn/exo/03/19.md

658 B

Maelezo ya Jumla

Mungu anaendelea kusema na Musa.

hadi mkono wake ulazimishwe

Hii yaweza andikwa katika tenzi tendaji. Neno "mkono" linasimama katika nafasi ya nguvu ya mwenye mkono. Maana inayo wezekana ni 1) "pale tu atakapoona hana nguvu ya kufanya kitu kingine chochote" 2) "pale tu nitakapo mlazimisha kuacha muende" au 3) "ata kama nitamlazimisha kuwaacha muende"

Nitanyoosha mkono wangu na kushambulia

Hapa "mkono" wa husu nguvu ya Mungu.

sitaenda mikono mitupu

Hapa neno "mikono mitupu" linatumika kueleza maana tofauti.

wanawake wowote wanao ishi nyumbani kwa jirani

"Misri yeyote anaye ishi nyumbani kwa jirani yake wa Kimisri"