forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
554 B
Markdown
29 lines
554 B
Markdown
# Mkumbuke
|
|
|
|
"kumbuka"
|
|
|
|
# kabla ya kamba ya fedha kukatwa ... au torori la maji kuvunjika kisimani
|
|
|
|
Mwandishi anafananisha kifo na vitu mbali mbali vilivyovunjika. Kifo kitavunja mwili ghafla kama watu wavunjavyo hivi vitu wakati wakivitumia.
|
|
|
|
# kamba ya fedha kukatwa
|
|
|
|
"mtu anakata kamba ya fedha"
|
|
|
|
# bakuli ya dhahabu kupasuka
|
|
|
|
"mtu anapasua bakuli la dhahabu"
|
|
|
|
# gudulia kuvunjwa
|
|
|
|
"Mtu anavunja gudulia"
|
|
|
|
# torori la maji kuvunjika
|
|
|
|
"mtu anavunja torori la maji"
|
|
|
|
# mavumbi kurudia aridhini
|
|
|
|
Hapa neno "mavumbi" inamaanisha mwili wa binadamu uliooza.
|
|
|