# wametoka katika hali ya unyofu wakitafuta magumu mengi
Maana zinazowezekana ni 1) "wamefanya mipango mingi ya dhambi" au 2) "wamefanya maisha yao wenyewe kuwa magumu."
# wametoka
Hapa waliotoka ni wanadamu.