forked from WA-Catalog/sw_tn
587 B
587 B
Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza wimbo wa shairi kwa watu wa Israeli. Anaendelea kutoa nukuu maneno ya Yahwe.
Wamenifanya kuwa na wivu
Hapa "wamenifanya" ina maana ya Yahwe.
kile ambacho sio mungu
"ambayo ni miungu ya uongo"
mambo yao yasiyo na maana
Unaweza kuweka wazi ambayo "vitu" ni nini. "sanamu zisizo na maana"
wale ambao sio taifa
"watu ambao hawapo miongoni mwa kundi moja la watu"
taifa pumbavu
Maneno "wapumbavu" na "msiojitambua" ina maana ya kitu kimoja na inasisitiza jinsi watu walivyo wapumbavu kwa kutomtii Yahwe. "nyie watu wapumbavu kabisa"