sw_tn/deu/31/07.md

17 lines
380 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Musa anazungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" na "wako" hapa ni katika umoja.
# machoni pa Israeli yote
Hii ina maana ya kwamba watu wote wa Israeli walikuwa pale. "katika uwepo wa Waisraeli wote"
# Uwe hodari na mwenye ujasiri mwema
"uwe hodari na jasiri"
# utasababisha wairithi
"utawasaidia kuchukua nchi"