sw_tn/deu/29/20.md

816 B

hasira ya Yahwe na wivu wake utambanika

Kama vile moto unavyokua katika makali, kwa hiyo hasira ya Mungu na wivu unakua katika makali. "hasira ya wivu ya Yahwe utaota kama moto"

hasira ya Yahwe na wivu wake

Hapa neno "wivu" inaelezea "hasira ya Yahwe". "Hasira ya wivu wa Yahwe"

zilizoandikwa

Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "ambayo nimeandika"

laana zilizoandikwa katika kitabu hiki vitakuwa juu yake

Musa anaeleza laana kama mtu atakayemshambulia kwa mshtuko. "Yahwe atamlaani na laana zilizoandikwa ndani ya kitabu hiki kwa njia ambazo zitamshangaza kabisa". Maneno yanayofanana yanajitokeza katika 28:15.

Yahwe ataliondoa jina lake kutoka mbinguni

Hii ina maana Mungu atawaangamiza kabisa mtu na familia yake. Baadaye watu hawatamkumbuka. Msemo wa kufanana unajitokeza katika 7:23.