forked from WA-Catalog/sw_tn
880 B
880 B
Habari ya jumla
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.
Ataleta juu yako mara nyingine magonjwa yote ya Misri
"Atahakikisha kuwa tena unateseka kwa magonjwa ya Misri"
yatakung'ang'ania
magonjwa hayataacha, na hakuna mmoja ataweza kukuponya kwayo"
kila ugonjwa na pigo ambalo halijaandikwa
Huku kupigwa chuku kunaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hata magonjwa na mapigo ambayo sijaandika"
hadi umeangamizwa
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "hadi amewaangamiza"
Utabaki wachache kwa idadi... mlikuwa kama...hamkusikiliza
Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi hivyo mifano yote ya "wewe" ni uwingi.
ulikuwa kama nyota wa mbinguni kwa idadi
Hii ina maanisha kwamba zamani kulikuwa na Waisraeli wengi.
sauti ya Yahwe
Hapa maneno "sauti ya Yahwe" urejea kwa kile Yahwe asemavyo.