sw_tn/deu/28/54.md

567 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

ambaye ni laini na mlegevu miongoni mwenu-a

Musa anasema kwamba si wale peke yao mmoja angetegemea kula watoto wao, lakini hata mtu wa mwisho angetegemea kula watoto wake mwenyewe atakula watoto wake. "ambaye ni laini na mlegevu sana miongoni mwenu - hata yeye"

miongoni mwenu

Musa anazungumza kwa Waisraeli wote kama kundi, hivyo maneno "wewe" hapa ni uwingi.

malango yote ya mji wenu

Hapa "malango ya mji" uwakilisha miji.