sw_tn/deu/28/52.md

610 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kueleza jeshi ambalo litawavamia Waisraeli kama hawatamtii Yahwe. Anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

malango ya mji yenu

Hapa kukindi cha maneno "malango ya mji" uwakilisha mji

tunda la mwili wako mwenyewe, nyama ya watoto wa kiume na binti zako

Hapa "nyama ya watoto wako na binti zako" uelezea mfano "tunda la mwili wako mwenyewe." Watu watakuwa na njaa baada ya jeshi la maadui kuuzunguka mji wao ambao watakula watoto wao.

tunda la mwili wako mwenyewe

Hii ni nahau. "watoto wako mwenyewe"