sw_tn/deu/28/40.md

478 B

Habari ya jumla

Musa aendelea kuelezea laana za Mungu kama watu hawatamtii. Anazungumza na Waisraeli kam walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

lakini hautajipaka mafuta yoyote ju yako

Watu wangejipaka mafuta ya mizeituni juu yao kufanya ngozi yao kuwa na afya.

mti wako wa mzeituni utaangusha matunda yake

"mti wako wa mzeituni utaangusha matunda yake kabla hayajaiva" au "mzeituni utaanguka kwa miti ya mzeituni kabla hayajaiva"